Channel Afrika
Category: World>Kiswahili>Habari
Channel Africa ni Kituo cha Utangazaji cha kipekee kinachotoa huduma za upashanaji habari na kwa Taarifa na Habari za Kiafrika zinazogusia maslahi ya bara zima la Afrika. Kituo hiki hukusanya habari kutoka kila pembe ya Afrika na kwingine ko kote duniani. Kundi la Waandishi wa habari Watangazaji wa Channel Afrika wametambua na kuipa umuhimu huduma hii kuliko Mashirika mengine ya Kimataifa ya shughuli za Utangazaji.
http://www.channelafrica.org/swahili/index.html ReviewsRating: Not yet Rated Whois Check
Jasminecorp.net directory is based on the Open Directory and is being modified by Jasminecorp.